Total Pageviews

Saturday, September 2, 2017

SANENE, ZILIPENDWA

Hakika zama za Kale ni zilipendwa,
Sanene Ilipendwa mpaka mitaa hii ikaitwa Sanene,
Leo hii ni Historia.

VISA NA MIKASA YA DALADALA


Sanene leo Asubuhi,
Kwa Watumishi wa Daladala visa vya barabarani hulipwa papo kwa papo.
Mmoja kamvunjia kioo mwenzie kituo kilichopita,
Kituo kinachofuata nae kamziba kavunja kioo.
Sinema ya Kivita tayari, na watazamaji tupo.

Friday, September 1, 2017

MNUSO WA IDD KWETU NTWALA

Ndugu zetu Waislamu leo wamesheherekea Sikukuu ya Idd El Hajj. Hii ni baada ya Mahujaji katika mji wa Makka kukamilisha Nguzo ya tano na muhimu katika Uislamu.
Sikukuu hii huambatana na uchinjaji wa Wanyama kwa ajili ya sherehe.
Wadau wetu wa Mtwara walijumuika kwenye Sherehe ya Idd nyumbani kwa Familia ya Mdau Mr Kitwala.

FROM OUR PHOTO ALBUMS

True friends
The Late Wilson Kuruchumila and CK Msalya

MUHENGA

Can you notice the difference today?
This was in 1985

DOUBLE BIRTHDAY ANNIVERSARIES

Natamani kuwepo Dodoma
Kwani Leo na Kesho kila siku ni Sikukuu
Leo anazaliwa Baba, Kichwa cha nyumba
Kesho anazaliwa Mama.


MY THROWBACK COOP COLLEGE MOSHI

Gunda, R Shangvi 
Graduation Day, Hon. Anna Abdallah Minister Responsible for Cooperatives and Chairmain of the College Board Hon. Pius Msekwa
First year, Class Discussion group.
They Included Late Kaleb Mjubeli, Restituta Urassa,Ruth, Wilbard Mbonimana, Kilimba, Billy Msalya and Lukumano Msokwa

Back row Billy, Luhende, Shayo, Mpoli, Kalaba and Mwigani
Front row Ndekoringo, Mpenye, Kwame and Shangvi
Census Day 28 August 1988, Mawenzi Domitory Residents. Academic year 1988/1989
Residents not in photo is Harry Mtaki and Samwel Mwangwa
Front row:  Juakali, Kwame,Koka and Billy
Sitting:  Mrisho, Mpoli, Mwigani
Standing: Kubhebheka, Kana, Bushagama, Shayo, Mbonimana,Mwinuka, Late Mjubeli nand Kalaba 
Third Year, Accounts Class of 1989
Computer Room Class
Mjubeli, Ulomi, Ms Rweyemamu, Nkwabi and Billy
Moshi Cooperative College,
Main Gate entrance
March 1988
Me and my room mate Wilbard Mbonimana
A visit to Tanzania Breweries, Arusha Plant
Front row:
Rweyemamu,Dickolangwa,Mboya, Mahenge,Billy, Shayo,Shija and ......
Standing:
Minde, Omari, Magoti, Urassa, Mwakyoma, Winani, Nkwabi, Minja, Mjubeli,Kassima, Rwagataraka, Mpyalimi, Kimasha, Mbeeje, Tutor Mike, Kimaro, Peter, Matata, Majige, Audax and Mwakijele.
Willy, Rose Waniha and Simon Mhanaya
Mr Samwel Mwangwa
April 1989
One of the Town Outings
06 March 1988
Rotating from right Back Bencher
Msalya, Membe,Kassima, Audax, Mwakijele, Matata, Magoti, Mrope, Minja, Rweyemamu,Nkwabi,Ulomi,Kiama, Mdaki, Kalinga, Mollelson, Mahenge and Omari Abbas.
Accounts Class of 1989
in photo
Minja, Mpyalimi, Rose Ndusilo, Mjubeli, Kassima, Billy Msalya, Deo and Chime
Accounts Class of 1989
February 1989
Winani, Billy, Late Mjubeli and Late Kassima
In Town Centre
Hindow Video & Photo Studio
August 1987