Misemo yetu Uswazi
" Ukitaka kujua Chocho, kula Nauli"
Lakini basi si kwa Chochoro hizi za Uswazi kwetu.
Kigogo Sambusa,
Jumatatu jioni
Total Pageviews
Tuesday, June 13, 2017
Monday, June 12, 2017
Saturday, June 10, 2017
Wednesday, June 7, 2017
TUNASONGA
Jumapili, 04 Juni 2017
Wadau wameendelea na kikao cha tatu cha maandalizi ya Send Off ya Suzy Nyanguli Jumanne Kaigi ndani ya Flamingo Garden Inn, Kinyerezi kwetu.
UMEWAKAA!!
Mwanasheria House
Honda's room
06 June 2017
Imekuwa siku ya kumbukumbu njema,
Siku hii pamoja na kuwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Dr George,
Kwa mara nyingine jana imejiwekea historia ya kuwa siku ambayo Umeme uliwashwa rasmi katika Boma la Mzee CK, Kijijini Nakatuba.
Hatimae ndoto za Prof Muhongo za umeme vijijini kupitia mpango wa REA zimezaa matunda.
Subscribe to:
Posts (Atom)