Total Pageviews

Wednesday, May 3, 2017

HAPA NA PALE, MTWARA BUS STAND

 Stendi kuu ya Mabasi Mtwara,
Kamera ya Blog ikiangazia mambo mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.

TWENDENI GEZA ULOLE

Enzi zile,
Wanamuziki wa zamani, wakati wa kina Ngulimba wa Ngulimba waliimba na kutuhimiza kwenda kuishi kwenye vijiji vya ujamaa,
Twendeni Geza ulole,
Kibugumo na Mwanamilato, kwenye makao mapya.
Miongo takribani mitatu baadae, Mdau wetu mmoja ameitikia wito,,,,,,,,,,,,,,,
Anajipanga kwenda Mwongozo.
Sina hakika lakini kama vile vijiji vya ujamaa vilivyoimbwa enzi zile vingalipo.