Mandhali ya Jiji la Dar es Salaam,
ukiwa ndani ya Kivuko
Total Pageviews
Wednesday, May 3, 2017
PANDA MTI
Upandaji miti, Mwongozo Kigamboni.
Falsafa niipendayo ya upandaji miti ya Yusuph Makamba akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam.
"Panda mti wa matunda, utapata Kivuli na Matunda"

LOOSING THE TARGET
Jicho lako la picha limeona Picha nzuri,
Haraka haraka unatoa Kikamera chako mkobani kwa ajili ya kumbukumbu.
Shoot!!!!
Hamadi unakuta umeambulia blocking ya namna hii.

OUR BUS HUB, MAJUMBA SITA
Kutoka usafiri wa Landrover moja pekee, tene ya kusubiria kwa masaa, Stendi yetu imekua kwa kiasi kikubwa. Hivi sasa ni kiunganishi cha wasafiri wengi wa kwenda Kinyerezi, Kimara, Mbezi, Bonyokwa, Segerea, Ubungo, Makumbusho, Gongo la Mboto na Chanika.
Hata hivyo ukuaji wa Stendi yetu unakumbwa na changamoto lukuki ikiwemo wingi wa magari na ubovu wa miundo mbinu ya stendi na ukosefu wa vibanda vya abiria.
Pengine ndio maendeleo.
FOCONA
Forum for Conservation of Nature,
Wadau wakubwa wa mazingira mjini Mtwara. Makao makuu yao yapo Shangani West na ofisi ndogo zilizopo Kanisa la Biblia Mtwara, Kipunguni B Dar Es Salaam na Nakatuba, Bunda.
Safari yetu Mtwara tulipata fursa ya kutembelea Ofisi ndogo za Focona, Kanisa la Biblia Mtwara, Mtaa wa Makonde na Chikongola. Hapa pia ndipo zilipo ofisi za Msalya & Company Consultants. Wabobezi katika masuala ya sheria. Ni mkabala tu na Hotel ya Tiffany Diamond.
Mojawapo ya bustani inayotunzwa na Focona, Hapa kuna ujumbe maridhawa kwa Wapenda mazingira kwa ajili ya hifadhi ya mji wa Mtwara.

Subscribe to:
Comments (Atom)