Total Pageviews

Friday, January 8, 2016

LOOKS LIKE SOMEWHERE IN LAKE ZONE!!

Kama Stendi flani hivi katika njia ya Nzega - Mwanza.
Ni mtazamo wangu tu,

THANK YOU FOR YOUR BIRTHDAY WISHES

Thank you so much for sending me love and well wishes on my birthday. It reminds me that my life is filled with friends and family who appreciate me!

Tuesday, January 5, 2016

BIRTHDAY GIFTS FROM NAKATUBA

Mdau wetu Mwl Belly Snr (Nyabhwangu)
Birthday yake ya 60 ilimkuta Nakatuba karibuni.
Suprises na Zawadi alizozipata ni hatareee.....................
Kikwetu kwetu siyo lazima Zawadi zifungwe na makaratasi ya kung'aa.

PHOTO SHARING FROM NAKATUBA VACATION

Picha kutoka kwa mdau, Ankal Tabi.
Ni siku chache zilizomfikisha Dodoma, Bunda na Nakatuba.

DANGER

Wakati mwingine haiitaji trafiki, kwani hata kwa macho ya kawaida inaonesha hii ni hatari inayojongea.
Tabata Road, jumamosi mchana.

PROPOSED NAKATUBA SHOPPING CENTRE

Muonekano mpya wa zitakazokuwa shopping frames, hii ni baada ya kuondolewa kwa vibanda vilivyokuwa mbele.

HERE COMES THE TAZARA FLYOVER


Sasa ni dhahiri Barabara ya ghorofa inakaribia kuwepo Bandari ya Salama, maeneo ya Tazara