Bado siku 15
Utamu wa siasa unazidi kukolea.
Na wote wanahubiri MABADILIKOOOOO...........
Picha kutoka JF(Super H)
Total Pageviews
Friday, October 9, 2015
TRADING MONEY FOR MONEY
Tunafanya biashara kwa ajili ya kupata pesa,
Hii ni biashara ya pesa kwa ajili ya kupata pesa.
Ukonga minazi mirefu.
Hii ni biashara ya pesa kwa ajili ya kupata pesa.
Ukonga minazi mirefu.
Thursday, October 8, 2015
TWO IN ONE
Unapojipanga kupanda mti, ni bora ukapanda mti wa matunda.
Pamoja na matunda, pia utapata kivuli.
Nakatuba kwetu
Pamoja na matunda, pia utapata kivuli.
Nakatuba kwetu
Wednesday, October 7, 2015
PROJECT PROGRESS
North view
West view
East view
South view
Update ya Maendeleo ya ujenzi wetu katika "view" tofauti.
Nakatuba Jumatano.
West view
East view
South view
Update ya Maendeleo ya ujenzi wetu katika "view" tofauti.
Nakatuba Jumatano.
"JISIKU NI KABHAJO!"
Uncle (Late) Maingu Magoti with his wife Nyamaindi in 1974
Hakika muda ni fumbo la maisha.........
Muda huja na kupita, muda hauna mwanzo, muda hauna mwisho japo binadamu wameweza kuupima katika Sekunde, Dakika, Masaa, Wiki, Miezi na Miaka.
Imekuwa ni kawaida tu kusema wakati uliopita, uliopo na ujao. Siku ikipita imepita, jana imepita, leo ni leo na kesho haijafika.
Hata viumbe na mimea yote huendana na majira ya muda. Huzaliwa, hukua na hatimae hufariki. Hupita.
Kuna wakati kwa kila kitu, na majira ya misimu huja kulingana ma wakati, na hata uumbaji umeendana na wakati. Haiwezekani kupanda na kuvuna mpunga ndani ya mwezi mmoja na vivyo hivyo haiwezekani kwa Binadamu kuzaliwa na kuzeeka ndani ya mwaka mmoja, kila kitu kwa muda maalumu.
Muda unasemwa kuwa ni nguvu ya bure, muda hauna subira. Muda uliopita kamwe hauwezi kupatikana tena, kila wakati muda unaruka ukipita..........
CROSSING RUFIJI RIVER
Crossing river Rufiji at Ikwiriri, Coast Region
Back in 1988.
Picha kwa hisani ya Mdau wa Blog yetu kutoka Mtwara.
Back in 1988.
Picha kwa hisani ya Mdau wa Blog yetu kutoka Mtwara.
MARA SECONDARY - CLASS OF 1976-79
Standing:Billy, Berias, Albinus, Lujuma, Venance and Pascal
Front row: Julius, Elias and Sospeter
Zama za Pekos na Bugaluu,Usidhani hawajavaa viatu, la hasha.........
Ndio ilikuwa mitindo ya kizazi hiki.
Form One 1976
Thank you Mwanasheria Nyachiriga kwa kumbukumbu hizi adimu.
Subscribe to:
Posts (Atom)










