Buguruni leo asubuhi,
Kazi kwa ajili ya kuingiza kipato.
Total Pageviews
Wednesday, October 7, 2015
Tuesday, October 6, 2015
SAFARI HATUA
Nakatuba, jana Jumatatu.
Kidogo kidogo tunazidi kusonga.
Project yetu imekamilisha hatua nyingine ya uezekaji.
Kidogo kidogo tunazidi kusonga.
Project yetu imekamilisha hatua nyingine ya uezekaji.
Monday, October 5, 2015
ITS MONDAY MORNING
Jumatatu asubuhi,
kila mmoja anawahi kuwajibika.
Kazi ndiyo njia pekee ya kujipatia maendeleo.
Ukonga Minazi Mirefu (Njiapanda ya Segerea)
kila mmoja anawahi kuwajibika.
Kazi ndiyo njia pekee ya kujipatia maendeleo.
Ukonga Minazi Mirefu (Njiapanda ya Segerea)
Saturday, October 3, 2015
KARIBU KINYEREZI
December 2011
September 2015
Its real,
Kinyerezi is changing,
Pictures taken at same place in interval of four (4) years.
BIG UP MKANDARASI
Kaza buti Mkandarasi,
Siku si nyingi tutaondokana na foleni ya hapa darajani.
Kinyerezi darajani
Leo asubuhi.
Siku si nyingi tutaondokana na foleni ya hapa darajani.
Kinyerezi darajani
Leo asubuhi.
Friday, October 2, 2015
MAISHA KIZUNGUMKUTI
Maisha kizungumkuti,
Uhuru Road, Ilala sokoni leo asubuhi.
Picha nimezipiga nikiwa ndani ya daladala, zinaonesha maisha yalivyo kizungumkuti.
Asubuhi hii ninapoelekea ofisini,
Wengine tayari wapo Bar wanakata moja baridi, moja moto,
Wengine wanaharakisha kufikisha mizigo kwenye sehemu zao za biashara,
Na wengine vijiwe vimedoda wanatafuta wateja.
Yote maisha...........

MSALYA FAMILY - ZAMANI MPAKA SIKU HIZI
Msalya Family back in 1967
Back row from left: Belly, Dad (Late), Baruku (in Dad's hand) and Bright
Sitting from left: Better (Late), Billy and Beria

Through years to 2014, Back row from right in seniority:
Belly Nyabhwangu, Bright Nyachiriga, Billy Magoti, Beria Bhituro, Baruku Msalya, Bithia Muundwa and Bora Sarai.
Front row:
Bahati Nyang'oko, Bilshani Kwesi and Baasha Makubhi.
Subscribe to:
Posts (Atom)