Total Pageviews

Saturday, September 12, 2015

JUST A DAY IN MUSOMA

Niliondoka Musoma mwaka 1979 wakati nilipomaliza Kidato cha Nne, Mara Secondary School.
Sikurejea hapa hadi majuzi nilipoweza kufika hapa kwa siku moja.
Sikuweza kuzunguka sehemu nyingi kutokana na ratiba,
Ila nikiri Musoma kuna Mabadiliko makubwa.

JUST A DAY IN UKEREWE

A day Silla and I visited Ukerewe, and stayed in Nansio Town for few hours.

Wednesday, September 9, 2015

BEST EXAMINATION WISHES

Maisha ya shule ni safari ndefu....................
Vumi, Vumilia, ni safari ndefu.....................
Hatimae baada ya miaka kadhaa, Kate Penina, Manyama na Harrison wanaingia chumba cha mtihani kuhitimisha safari yao ya elimu ya Msingi.
Mavuno hutegemea kile ulichopanda,
Natumaini na wao walipanda mbegu bora, na tutarajie mavuno mazuri.
Kila la kheri LY wote, tupo pamoja nanyi tukiwaombea matokeo yaliyo mema.

Thursday, September 3, 2015

MILIMA HAIKUTANI, BINADAMU HUKUTANA

Hakika milima haikutani, bali Binadamu hukutana.
Nyumbani kwa Ankal Magafu Mganga, Nyamatare Musoma.
Niliondoka pahala hapa zaidi ya miaka 35 iliyopita,
Wakati nilipohitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari Mara.
Nimepata bahati ya kurejea tena hapa majuzi, 01/08/2015.
Ni mabadiliko mengi na makubwa yametokea...................
Tulikumbushana mengi,
Tunamshukuru Mungu wote tu hai,

WHEN FAMILY GATHER

Everybody enjoyed being there,
Everybody wished being there,
Msalya Family gathering in Nakatuba for a meeting on 08.08.2015

ONCE UPON A TIME

Maisha ni safari ndefu,
Yaliyokuwa makazi ya Mzee Daniel Gunze
Iliyokuwa nyumba yenye furaha, Asali na Maziwa.
Sasa imebakia matuta tu kwenye Boma,
Na wadada wa kuungalia mji, ambao nao sasa umri unakwenda.
Bi Nyakataga na Nyachiro.
Kisorya Masahunga.