Ujasiriamali ni kuthubutu,
Mjasiriamali Bi Bello
Bagamoyo, Jumatatu
Total Pageviews
Wednesday, April 8, 2015
KINYEREZI BRIDGE UPDATE
Photo update on reconstruction of Kinyerezi Bridge.
Kwa hakika hali bado ni tete.
Picha kwa hisani ya Mdau wetu wa Blog: Gilbert Rugaitika
BURIANI JUMA MWANAMBARA
Late Juma Ali Mkawa Mwanambara,
hii picha niliipiga tarehe 28 February 2015 siku ya mazishi ya shemeji yangu Bi Mwajuma.
Juma Mwanambara alihudhuria tukashiriki nae kwenye mazishi hayo.
Tarehe 05 Februari, siku ya hitima ya Bi Mwajuma nilipata habari ya kifo cha Juma Mwanambara.
Juma alikuwa mmojawapo wa Maafisa Ushirika walionipokea wakati wa kuanza ajira yangu kama Afisa Ushirika msaidizi wilayani Bagamoyo Novemba 1982.
Tarehe 06 Februari 2015, Juma Ali Mwanambara amezikwa makaburi ya Mwanakalenge, ni pembeni tu mwa kaburi la shemeji yangu Bi. Mwajuma.Buriani Juma
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un
Thursday, April 2, 2015
NEW BORN BABY BOY
Mwili mmoja mnamo 09 March 2014,
Hatimae ndoa hii imejibu,
Kuna mtoto Mwanamme amezaliwa Amana Hospital muda mfupi uliopita.
WELLCOME BABY,
Hongera Joel & Elimina
Hatimae ndoa hii imejibu,
Kuna mtoto Mwanamme amezaliwa Amana Hospital muda mfupi uliopita.
WELLCOME BABY,
Hongera Joel & Elimina
Subscribe to:
Comments (Atom)













