Hali ni tete kwenye njia ya Kinyerezi - Majumba sita baada ya daraja kuvunjika, na diversion iliyokuwepo kuzolewa na mvua.
picha kutoka mtandao wa:simbadeo.wordpress.com
Total Pageviews
Tuesday, March 24, 2015
Monday, March 23, 2015
HAPPY BIRTHDAY ANNIVESARIES

Kagere
Miaka kadhaa iliyopita, kule Nakatuba
Kibara Bunda siku kama ya leo alizaliwa
KAGERE MWAYAI MSALYA
AminaTereza
Na miaka 28, baadae tarehe hiyohiyo, Kinyerezi Dar Es Salaam
alizaliwa
AMINA BILLY MSALYA "Minoo"
HAPPYBIRTHDAY DEAR KAGERE AND MINOO
Saturday, March 21, 2015
KUMEKUCHA DAR
Kama kawaida ya Dar yetu,
Mvua zinazoendelea kunyesha kuanzia usiku zimeshaonyesha makeke yake.........
Akiba, mchana huu
Picha kwa hisani ya Lulu - Whatsapp Msalya Group
Mvua zinazoendelea kunyesha kuanzia usiku zimeshaonyesha makeke yake.........
Akiba, mchana huu
Picha kwa hisani ya Lulu - Whatsapp Msalya Group
Thursday, March 19, 2015
UKISTAAJABU YA MUSA.......
Unapokerwa na foleni zetu,
Pale Buguruni, Tazara, Ubungo, Mwenge, Salender..........nk
A tight tangle in Xi'an, China.
Pale Buguruni, Tazara, Ubungo, Mwenge, Salender..........nk
A tight tangle in Xi'an, China.
DAR, ARE U READY ??
Kuna kila dalili sasa kuwa mvua za masika zitaanza,
Mvua za juzi ni salamu tosha kwa wakazi wa jiji letu kukaa "standby"
Pichani ni mitaa ya Msasani, Bonde la Mpunga.
Picha kwa Hisani ya wadau wetu wa DelMonte.
Mvua za juzi ni salamu tosha kwa wakazi wa jiji letu kukaa "standby"
Pichani ni mitaa ya Msasani, Bonde la Mpunga.
Picha kwa Hisani ya wadau wetu wa DelMonte.
Wednesday, March 18, 2015
HATUA KWA HATUA
Kinyerezi darajani leo asubuhi,
Baada ya darala letu la mchepuko kuvunjika tena,
Kuvuka ni kwa zamu,
na nidhamu inahitajika ya hali ya juu
Subscribe to:
Posts (Atom)