ikitekelezwa kwa vitendo katika wilaya ya kazi.
Total Pageviews
Thursday, October 16, 2014
KWAHERI DAD, 3
30 September 2014
Wakati msafara ukizidi kusogea mwisho wa safari, kunaingia mushikeli..........
Mojawapo ya gari ya msafara inapata ajali kwa kumgonga mwendesha baiskeli, eneo la Hungumalwa wilayani kwimba.
Hata hivyo baada ya uchelewevu wa masaa kadhaa ili kukamilisha taratibu za kipolisi vituoni Hungumalwa na Misungwi, Safari inaendelea. Tunapata msaada wa gari nyingine kutoka Chuo cha Mipango Mwanza.

KWAHERI DAD, KINYEREZI
29 September 2014, KINYEREZI
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho,
na mwanzo wa safari ya kuelekea kijijini
Nakatuba, Kibara Bunda
KWAHERI DAD, 2
30 September 2014,
Bi Penina boarding Precision Air
en route to join the other team at Mwanza,
And thereafter a trip to Nakatuba, Kibara Bunda

Subscribe to:
Comments (Atom)