Total Pageviews

Saturday, August 9, 2014

NANENANE

Namna njema ya kusheherekea sikukuu yetu,
Wakulima na Wafugaji.
Kufanya kazi kwa bidii na maarifa.

USINGIZI NOMA

Bodaboda man akiuchapa usingizi.
Ni safari ya kutoka Kigamboni hadi Magogono kwa Pantoni.

Tuesday, August 5, 2014

KIKAO CHA KAZI

Kikao cha kazi,
Mkakati wa kusisitiza uwajibikaji
Kauli mbiu yetu leo
"VAA KAMPUNI"
Delmonte leo asubuhi

BEAUTY OF BOT


BOT
from different angles, different hour