Total Pageviews

Saturday, May 3, 2014

GET WELL SOON DAD


 Isaiah 41:10 

Fear not, for I am with you; be not dismayed, for I am your God; I will strengthen you, I will help you, I will uphold you with my righteous right hand.

Wednesday, April 30, 2014

OOh MUNGU, BWANA WETU U MWEMA



Yakobo 5:14-15.

Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa.

Kibasila, Muhimbili Hospital leo asubuhi
 

Tuesday, April 29, 2014

UNAIKUMBUKA GOMBANIA GOLI

Enzi zetu utaalamu wa mchezaji wa hii game ilikuwa ni timing ya macho ya kichwa cha sato.
Chezea Maradona wewe!!

BIBI'S HUG

Chezea Hug ya Bibi kwa vitukuu wake

HEAL OUR DAD, LORD

Jeremiah 17:14
Heal me, LORD, and I will be healed; save me and I will be saved, for you are the one I praise.

Kibasila, Muhimbili Hospital
Leo asubuhi

Monday, April 28, 2014

PHOTOS FROM MUHIMBILI

 Alhamis - Maandalizi ya damu
 Jumamosi
 Jumatatu
 Jumamosi
Well wishers

SHAMBANI KWETU

Mzee CK na vitukuu shambani.
Nakatuba
Desemba 2013