Namanga Bridge, mto mzinga
Chanika Mvuti Road
Total Pageviews
Monday, April 14, 2014
Saturday, April 12, 2014
DAR RAIN UPDATE
Neema ya mvua inaendelea Dar.
Lakini kwa upande mwingine inaonekana majanga.
Mitaa ya Dar mchana huu
Picha toka kwa mdau Rajab
Lakini kwa upande mwingine inaonekana majanga.
Mitaa ya Dar mchana huu
Picha toka kwa mdau Rajab
DAR TETE
Dar mvua mtindo mmoja leo na jana.
ni mitaa ya Kinyerezi/Segerea Bridge leo asubuhi.
Picha ya mdau Rajab.
Na kule Mpiji Bridge (Mpakani Dar na Bagamoyo) nako mambo si shwari
Picha kwa hisani ya wanamitandao
ni mitaa ya Kinyerezi/Segerea Bridge leo asubuhi.
Picha ya mdau Rajab.
Na kule Mpiji Bridge (Mpakani Dar na Bagamoyo) nako mambo si shwari
Picha kwa hisani ya wanamitandao
Tuesday, April 8, 2014
ILIVYO DAR KUTOKEA SALASALA
Ama kweli, tembea ujionee.
Jumapili nilihudhuria kwenye msiba wa Ankal wetu Julius Mbogora Chiyarata, apumzike kwa amani.
Ni mitaa ya Mbezi Africana,
Kwenye point moja - Njia panda ya kwa BARIKIWE, Taswira nzuuuri za jiji la DariSalama.
Kwa kutumia Huawei yangu.

HATIMAE KILIO KIMESIKIKA
Kilio kimesikika,
hatuna tena adha ya kukinga vibakuri na ndoo.
Ukarabati wa nguvu na uhakika umefanyika.
hatuna tena adha ya kukinga vibakuri na ndoo.
Ukarabati wa nguvu na uhakika umefanyika.
Subscribe to:
Comments (Atom)

.jpg)