Total Pageviews

Tuesday, February 4, 2014

Monday, February 3, 2014

MWENDO KASI HIYOOOO

Gari zitakazotumiwa katika mradi wa Dar Rapid Transit.
Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog

USALAMA KWANZA??

Mafundi rangi wakiendelea na upendezeshaji wa jengo, lakini wakiwa katika mazingira duni kabisa ya kikazi.
Ngazi duni ya kamba, Hakuna cha Helmet, Glove, Safety Boots  wala miwani.

NI VITUKO USWAZI KWETU

Viuno barabarani,
Starehe kando kabisa ya barabara
Ni mwendelezo wa vituko Uswazi kwetu.