Total Pageviews

Wednesday, October 2, 2013

SIMBA OIL

Our first and last filling station,
Ukonga, Sitaki Shari.

YALE YALEE

Kwetu sasa foleni ni kawaida,
asubuhi, mchana na jioni.
Nyerere road

NDIO BARABARA ZETU ATI

Siyo uswazi kwetu tu.........
Hii ni mitaa ya chuo cha wakusanya kodi wa injii hii.
Ni baada ya mvua ya dk 30 ya siku ya jumatatu

MDAU NAKI

Wadau wetu wa Lugalo jeshini.
Naki, Mama Mdogo na Msengi Jnr

MAJANGA

Gari imeharibika,
unafikiria ni wapi Gari itapata packing salama mpaka asubuhi,
unafikiria mtafikaje nyumbani,
lakini kwa wengine, usingizi popote.
Lango la jeshi, jumapili usiku

LOVE U LULU

Jumapili, Yombo Lumo
Wadau waki "show love" na Lulu
Ni baada ya Dinner ya jioni aliyowaandalia nyumbani kwake.