Babu Milly
Kinyerezi kwetu jumapili
ku show love na wadau mbalimbali, Babuz and Bibiz
Total Pageviews
Tuesday, August 27, 2013
SARANGA KWETU
Saranga, Kinondoni District.
Siyo ile ya zamani tena, inakua kila siku
Nyumba za kisasa zinachipua kila kukicha,
Miundo mbinu inafika sasa,
Umeme na mitandao ya simu.
Huduma za jamii, makanisa na misikiti
Halikadhalika na vijiwe vya kupoozea.
Hii ndiyo Saranga mpya, umbali mfupi toka Kinyerezi, Ilala.
Siyo ile ya zamani tena, inakua kila siku
Nyumba za kisasa zinachipua kila kukicha,
Miundo mbinu inafika sasa,
Umeme na mitandao ya simu.
Huduma za jamii, makanisa na misikiti
Halikadhalika na vijiwe vya kupoozea.
Hii ndiyo Saranga mpya, umbali mfupi toka Kinyerezi, Ilala.
RIVERSIDE
Mitaa yangu miaka ya kushia 2000
Sikuwa nimepita hapa kabla kama miezi sita hivi.
Ubungo inabadilika kwa sana.
Jumamosi nimeiona tofauti kabisa.
Kisichobadilika ni foleni zilezile
PARADIGMS
Bonyokwa, Jumamosi.
Katika kukatisha mitaa Ubungo - Makoka-Bonyokwa-Saranga.
Hii ni shule ya mdau Sarah Billy
Hongera kusogeza elimu hadi Uswazi.
Katika kukatisha mitaa Ubungo - Makoka-Bonyokwa-Saranga.
Hii ni shule ya mdau Sarah Billy
Hongera kusogeza elimu hadi Uswazi.
Friday, August 23, 2013
DALADALA
Ama kweli huwezi kwenda kwa mganga kupiga ramli akakwambia lete sijui fungu mbili za mchicha, kunde.........
No!
Atakwambia lete Kuku, Mbuzi.......
No!
Atakwambia lete Kuku, Mbuzi.......
Subscribe to:
Posts (Atom)





























