Total Pageviews

Monday, August 19, 2013

BON VOYAGE CK

Mzee CK, Kipunguni Jumamosi.
Sasa hivi yuko njiani kurejea Nakatuba, Musoma Express
Akiambatana na Eddy.
Hapa ni waliofika kumtakia safari njema.

HAPA UMEFIKA KWETU

KKKT Kinyerezi
ukifika hapa, basi kwa hakika upo mitaa ya kwetu
Kinyerezi, Uswazi kwetu

KIBOKO YA KUNGURU

Kamba hukatikia pembamba!
Kunguru wa Zanzibar pamoja na tahadhari zake, mtego huu huingia mwenyewe.

TOYO

TOYO
Raha yake unapoendesha,
Lakini kuna wakati ikigoma, lazima ukokote

MDAU JAFARI

Mdau Jafari Juma - Babu JJ
akishow love na Mom

MDAU KAGERE

Mdau wa pande za Vingunguti,
Sambamba na my wife wake to be.