Tete a tete na makamanda
ni namna tu ya kutafakari maisha yajayo
Pama
Friday night
Total Pageviews
Saturday, May 4, 2013
AJALI TENA
Ajali tena
leo hii asubuhi kwetu Kinyerezi
Na ni PRADO tena katika eneo lilelile
Mola tunusuru wana Kinyerezi na ajali hizi.
Tunashukuru hakuna aliyepoteza maisha
leo hii asubuhi kwetu Kinyerezi
Na ni PRADO tena katika eneo lilelile
Mola tunusuru wana Kinyerezi na ajali hizi.
Tunashukuru hakuna aliyepoteza maisha
Friday, May 3, 2013
LULU - KIKAO CHA PILI
Vikao vya maandalizi ya Send Off ya Bhituro Lulu vinaendelea.
Jumamosi kikao cha pili kimefanyika pale pale Ukonga Recreation, Magereza.
Wadau wanazidi kutuunga
Jumamosi kikao cha pili kimefanyika pale pale Ukonga Recreation, Magereza.
Wadau wanazidi kutuunga
MILLI sees BABU OFF
Mdau Miriam a.k.a.Milli
imekuwa nadra kuonana, lakini ilivyotokea leo aliamuka mapema kuliko kawaida na kuhamia kwa babu
japo alifikia kulala, lakini wakati wa kuondoka alikuwa macho.
imekuwa nadra kuonana, lakini ilivyotokea leo aliamuka mapema kuliko kawaida na kuhamia kwa babu
japo alifikia kulala, lakini wakati wa kuondoka alikuwa macho.
UNAPOKOSA BUSARA BARABARANI
Foleni ya kwetu leo asubuhi
Kisa Muungwana mmoja kakosa uungwana.
Muungwana huyu aliyekuwa akieendesha daladala alikosa subira akafunga njia.
Ikawa sasa hakuna wa kwenda wala kutoka Kinyerezi.
Bahati nzuri baada ya dakika kadhaa, muungwana mwingine aliyekuwa na uungwana alisaidia kuondoa kadhia hiyo tukaendelea na safari.

Thursday, May 2, 2013
Subscribe to:
Comments (Atom)