Total Pageviews

Friday, March 8, 2013

WOMEN'S DAY


POLE LULU

 
 
 
Wadau wa Blog, nyumbani kwa Mdau, Mdada Lulu Bright Gongo la Mboto jana.
Baada ya maswaibu ya kidunia, Dada Lulu amesharejea Dar Es Salaam kuendelea na shughuli zake za kila siku.
Wadau walikuweko hapa kumpa pole.

Thursday, March 7, 2013

KUMEKUCHA>>>>

Biashara asubuhi,
Mahesabu jioni

DIGITAL USWAZI

 
 
 
Kumekucha Uswazi kwetu
Njia Panda ya Segerea
Sasa tunatumia taa za kuongozea magari

Wednesday, March 6, 2013

KUMU"ARREST" BODABODAMAN

Chezea wasimamizi wa Usalama wa raia weye!!
Bodaboda kabambwa akiendesha bodaboda bila Helmet na kuhatarisha usalama wake,
Mkono wa sheria ukachukua mkondo wake,
Under Arrest,
Na kwa sababu hana Helmet, inamlazimu sasa kubebwa yeye.
Hiyo ndio vijimambo vya Bongo Darisalama asubuhi hii.

Monday, March 4, 2013

SIKU YA SABATO

 
Kinyerezi, Jumamosi
Kanisani, Kanisa la Waadventista wa Sabato.
Siku ya Ubatizo,
na ni BIG DAY ya Morning TV
Mimi na nyumba yangu tulihudhuria na kubarikiwa

KAMANDA MAZOEZINI

 
 
 
 
 
Kamanda CK Junior trainning with his Trainner.
Kinyerezi Sunday