Total Pageviews

Thursday, February 7, 2013

HE JALUO

Mdau, His Excellency Jaluo
alikuwepo jana kutoa mkono wa karibu.
Ni katika Welcome back Home, Kipunguni jana

TABI AND THE THAI EXPERIENCE

Tabi, kupitia "Photo Slides" akiwapa wadau uzoefu wake kwa maisha ya Thailand
Welcome back home, Kipunguni jana

Wednesday, February 6, 2013

Tuesday, February 5, 2013

MDAU TABI NDANI YA BONGO LAND

 
Mdau Tabitha amerejea nchini jana baada ya kuwa nje masomoni kwa muda wa miaka mitatu.
Baada ya kurejea mchana, jioni ilimukuta ameshajichanganya kama kawaida na Bongo DariSalama.

Monday, February 4, 2013

TIMED PHOTOS

 
 
Right clicking at right time for amazing photos

NDIO MAISHA YETU USWAZI

Ndiyo maisha yetu Uswazi kwetu
Mombasa Moshi Bar Road
Jumamosi

WELCOME BACK MDAU TABI

Mdau wetu Tabitha, Mama Bj
Baada ya kuwepo ughaibuni miaka kadhaa kwa masomo
anarejea nyumbani mchana huu.
Karibu sana Ankal Tabi.