Wakati mwingine kazi ya kusubiria wateja nayo ngumu
Bora mzigo uwafikie walengwa
Kitunda Tsunami jumamosi
Total Pageviews
Monday, November 5, 2012
Sunday, November 4, 2012
KILA LA KHERI KWENYE MITIHANI YAKO REBECA
Mambo yote ni mipango ya mwenyezi MunguMapenzi yake yatimizwe kwa yote yaliyotokea
Nina hakika kwa ubinadamu wetu hatuwezi kujua kusudio lake.
Mwanangu,
Kesho unavyoingia kuanza mitihani yako ya mwisho ya Kidato cha Pili
Ndunguzo wote tuko nyuma yako tukikuombea kila la kheri
ukawe nuru yetu mpya inayochomoza kutoka gizani.
EVERY BEST WISHES FOR YOU REBECCA
VIJIWE VINGINE VINA MANENO.......
Hapa ni Stori tuu, Kula kwako.
Yanga, Simba, Arsenal wapo kijiwe hiki
Mpaka Lunch time kijiwe ni kitupu.
Yanga, Simba, Arsenal wapo kijiwe hiki
Mpaka Lunch time kijiwe ni kitupu.
Friday, November 2, 2012
NGUVU YA AJABU YA MISIBA
Kuna nguvu ya ajabu katika Misiba.
na ndiyo maana tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote.
Ndugu, jamaa na marafiki tuliopotezana miaka mingi au muda mrefu umepita bila kuonana, mara nyingi tumekutanishwa kwa nguvu ya namna hii.
Kushiriki misiba ya wapendwa wetu.
Malembo haupo nasi sasa, lakini ni wewe umetukutanisha tena wengi ambao tulikuwa hatujaonana miaka mingi.
Kando Magolinya, wazee wetu wa Nakatuba sasa. ingawa anasema yuko Geita muda mrefu. Hatujakutana yapata miaka 35 sasa.
Fred Simbua, miaka kadhaa sasa tokea msiba wa Hokororo kule Kigamboni, japo mjini humu humu.Rukia Nyajirali, Dada yangu toka Bwai, Bongo hapa hapa lakini miaka sasa tokea Harusi ya Bin Hussein kule Green Rombo miaka kadhaa hatujaonana.
1996 akileta Barua ya Posa pale kwangu Ubungo, Mr Mkaruka kaka wa Malembo zaidi ya miaka kumi na tano ndio tunakutana tena. Sasa wengi walimwita Leni.
Esrom Makoroma Bhinamo, kijana wa nyumbani huyu lakini karibuni zaidi ya mwaka ndiyo tunaonana tena
Geofrey Etutu, Mchambwe. Nimeanza kumsikia takribani miaka kumi sasa, na msiba huu umetukutanisha ana kwa ana
Binti Stefano Malekela, tumepata kukutana mara moja na sikumbuki ni lini, lakini hakika muda mrefu sasa
Omwende Thoma Lisso, tunakutana kwa mara ya kwanza
DJ Maregesi, Mchambuzi na mtangazaji pale Redia Morning Star. Pamoja na kumsikia mara kwa mara akiunguruma Redioni, mara ya mwisho kukutana ni miaka zaidi ya mitano hivi.
TUMSHUKURU MUNGU
Na mapenzi ya Mungu yatimizwe.
Tumushukuru Mungu wetu kwa kila jambo.
Na sasa hata kula kunawezekana.
Tumushukuru Mungu wetu kwa kila jambo.
Na sasa hata kula kunawezekana.
Subscribe to:
Comments (Atom)
























