Total Pageviews

Tuesday, September 25, 2012

MDAU MALEMBO AMELAZWA

Mdau wetu Kulwa Malembo anaumwa na amelazwa jana Amana Hospitalini.
Tatizo ni pressure kuwa juu kuliko kawaida, sukari nyingi na tatizo lilijitokeza awali la stroke.
Maombi yetu na yenu yawe pamoja kumwombea apate nafuu mapema.

Saturday, September 22, 2012

HAPPY BIRTHDAY EDDYSON aka baba Bj





Tarehe 20 Septemba uliongeza mwaka mwingine chini ya jua... Nakuombea heri na fanaka uongeze miaka mingine tele yenye neema.   Happy birthday and many years to come.