Total Pageviews

Friday, September 21, 2012

UKIIONA KAZI YAKO NGUMU, ANGALIA YA MWENZIO

Unapoiona kazi yako kuwa ngumu, hebu angalia ya wengine..............

"Kazi ni kazi,
kama huwezi kazi acha kazi
ujionee ilivyo kazi kupata kazi"

Wednesday, September 19, 2012

HONGERA LULU


MDAU MZEE MWAYAI YUKO DAR

ilibidi kwanza kupambana na foleni zetu kufika Ubungo Terminal
Sababu ya Mwakyembe, no kuchimba dawa. Hivyo breki yake ya kwanza ilikuwa hapa.....
Ubungo terminal hii
Kwetu Kinyerezi, tayari kwa kupewa Darasa


Tuesday, September 18, 2012

KITUNDA TSUNAMI

Kitunda Tsunami jumapili,
Kwa ajili ya kumtembelea mgonjwa Bw Kulwa Malembo.
Mzee mwayai na Mzee CK
Mgonjwa sasa anaweza kutembea japo kwa kujikongoja, si haba.
Tatizo limebakia uvimbe wa mguu uliotokana na chanjo "sarago" alizofanyiwa.
Sote tunamuombea Mungu amponye haraka.

BABA NA MWANA


Monday, September 17, 2012

JIRANI WANAPOKUUNGA MKONO

Mr & Mrs Mispereth Mtandu
Mr & Mrs Frank Maziku (Frank, far left top photo)

Mr & Mrs Gilbert
Mr & Mrs Miraji "Mwamba"
Bibi Mika, Bi Simbamwene
Mama mika
Mrs Juma
9/9 ya Lulu
Jumapili, kwetu Kinyerezi
Ilikuwa jambo la kheri majirani wanapotoka makwao wakaja kukuunga mkono