Total Pageviews

Thursday, September 6, 2012

BLOGGER ALIVYONASWA LEO OFISINI

Ndivyo nilivyonaswa leo ofisini bila kujua,
Lakini angalau imesaidia, Mimi nami ningeonekana lini humu Blogni

MDAU JM

Mdau wetu Bagamoyo, Jumamosi
Juma Mwanambara Mkawa
Ni Afisa Ushirika mstaafu aliyenipokea Bagamoyo 1982

Tuesday, September 4, 2012

MAKAZI YA SULTANI

Makazi ya Sultani wakati wa Waarabu, Customs Bagamoyo
Imebakia Historia

Monday, September 3, 2012

MJASIRIAMALI




Mjasiriamali Bello "Mama Ashura" kazini Bagamoyo Jumamosi

MNADA WA SAMAKI HUU




Ni mnada wa samaki, Bagamoyo jumamosi
Kanuni ya mnada mwenye kisu kikali ndile hula nyama.
Bei ya kujipima
Tano,........Saba..........Kumi X3 TOP

NIMEKAA MITAA HII

 Kwa Mzee Makamba
 Kwa Mkulu wa nchi hapa, ni jirani na nyumba niliyokaa miaka hiyo
 
 
  
Kwa Mzee Mambo "Big Boss"
Makazi yangu miaka ya 80s
Ilikuwa nyumba kubwa yenye kubeba familia kama kumi hivi, lakini sasa haikaliwi imebakia magofu na kuzungukwa na vichaka.

MWACHA ASILI............

Chiaz
Bagamoyo Jumamosi,
Bw Kaburi alikuwa mpangaji mwenzetu nyumbani kwa Mzee Mambo Bagamoyo.
Kwa miaka takribani ya Ishirini, ndiyo majuzi tena tumekutana.
Tuliongea na kukumbushana mengi.
Na huwa na mambo ya kujifunza kupitia kwake