Total Pageviews

Saturday, July 7, 2012

FREE RIDE

Free ride kwenda Gongo la Mboto kutokea Msasani
Jana usiku, Nyerere Road

Friday, July 6, 2012

MUSIC SOUNDS KUTOKA KWETU KINYEREZI


 
 
 
 
Jana kwetu Kinyerezi
Tunaendeleza Libeneke la Msalya Sekaseka kwa ubora zaidi

Monday, July 2, 2012

LULU - HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA














Jumapili, Kwetu Kinyerezi
Tukapata wageni kutoka Kilimanjaro, lakini wenyeji wa Iringa, familia ya Lusaluwa.
Wameleta barua ya posa kwetu kwa ajili ya Bhituro Lulu Bright.
Tukamuuliza Lulu, akasema ruksa kuipokea...............
Nasi tukawapokea wageni, tukapokea na barua...........

KIKAO CHA 18 CHA CHENDANE

Keneth,
Jembe la vikao, Agness

Mjadala
Hoja
Mzambarauni Gongo la Mboto, Jumapili
Baada ya kuahirishwa jumapili iliyopita, Kikao kiliendelea weekend hii, Wajumbe wakakutana kwa Bw. Sospeter Kwesi, Mzambarauni Gongo la Mboto.
Pamoja na kikao cha kawaida tukapata nafasi ya kumwona Mh Keneth Sospeter. Wengi wa wajumbe ndio kwanza wamemwona tokea alivyozaliwa miezi mitatu iliyopita.
Uncle Agness amepongezwa kwa kuwa mhudhuriaji mzuri wa vikao.