Total Pageviews

Tuesday, June 5, 2012

TUNGA NAE ATEMBELEA KWETU KINYEREZI


Ujio wa Mama Tereza umekuja na baraka ya wageni, wengi sasa wamepafahamu na wamekuja kumsalimia.
Jana alikuja Tungaraza Wilson Kuruchumila a.k.a. TUNGA

SANAA MPYA YA UBUNIFU ROUND ABOUT MAKUNGANYA

Metal scraps used to fabricate these animal statues
Round about India St/Makunganya(Indira Gandhi)/Bridge

Monday, June 4, 2012

BADO TUNAENDELEA KUPATA MIBARAKA YA WAGENI

"Abhende Kuruchumila"
Bw Gelard Masatu Kuruchumila na Familia yake, Joyce Wilson Kuruchumila walifika kututembelea na kumpa "HI" Mama Tereza kabla ya safari yake kesho.

MWEZI WA MCHANA

Mwezi mwandamo huonekana magharibi, mara nyingi jioni tena kwa umbo la C.
Huu mwezi niliouona jana ulikuwa mashariki, majira kabla ya magharibi.

NI KWELI WAPISHI BORA WALIANZA NA MATIPWI??

Nimewafuma wadau jana wakiwa katika shughuli za mapishi.

CHENDANE FOUNDATION, KIKAO CHA 17

Kikao cha 17 cha Chendane Foundation kilikuwa 27.05.2012
Ulongoni, Gongo la Mboto kwa Mh. Eliud Kaitira
Kikao kikafunguliwa kama ada
Mijadala mizito
Mapitio makini
Kwisha kikao wajumbe, kumbe waliandaliwa msosi wa nguvu
Kikao cha 18 kitakuwa tarehe 24 Juni 2012
Mzambarauni, Gongo la Mboto
kwa Mh Sospeter Lyanga Kwesi

KWETU SHAMBA KINYEREZI

Kwetu shamba, mtandao unapatikana
Majira yetu huku shamba, twamtegemea Jogoo awike
Kufuga Bata kazi
Alovera, mmea mzuri wa kuwa nao huku shamba, maana ni dawa
wakati wa msimu, angalau vitamin zinapatikana huku huku kwetu shamba