Total Pageviews

Friday, April 13, 2012

VIKWANGUA ANGA VYA BONGO

nyuma ya posta mpya.

Vikwangua Anga Bongo vinazidi kuchipua kila uchao,

Kama huna kawaida ya kupitia mara kwa mara Mjini kati waweza kupotea

Hiki nimekistukia majuzi tu

pembeni ya Posta House karibu na PPF Tower.

KAZI KUFUGA BATA

Nyama ya Bata i tamu, lakini kufuga Bata kwataka uvumilivu
Jumapili kwetu Kinyerezi

JUMAMOSI RAHA

Sabato nyingine imewadia,

Sabato iliyopita ilibarikiwa sana, asubuhi na mapema kuwahi shule sabato

Kuwahi mibaraka ya Bwana
Na kubakia nyumbani baada ya kutoka kanisani


Saturday, April 7, 2012

Tuesday, April 3, 2012

FROM THE CANON OF MSALYA "TALL"

Wiki iliyopita Kinyerezi ilikuwa na mgeni, Afande Msalya Tall kwa siku chache. alikuwa safarini akitokea Mbeya kusindikiza mahabusu na akielekea kituoni kwake mkoa mpya wa Geita.

Tukapata nafasi ya kupitia Canon yake anayobeba awapo safarini na kuambulia picha si haba kwa ajili ya blog yetu.

MV Misungwi, Busisi
Busisi

Tall anasema sasa ni mwenyeji angalau huko Geita, na ameanza kuwa na marafiki huko.

Sikutaka kumdodosa tena kama bado mpango wa kuhamia Moro upo

Ni vizuri kuwa na marafiki wema na wazuri

Uchimbaji dawa mitaa ya Mlima Kitonga



Kitonga







CK,
Wadau wa Kinyerezi wakaitumia nafasi hiyo pia kupata kumbukumbu

Sarah

Chef of the Day Tall, Minoo


Pamoja na kujifinya hapakuwa na ujanja kwa Minoo, lazima picha ichukuliwe

MZEE WA KARATU

Mzee wa Karatu
Msalya Baruku
Ni mwanamtandao siku hizi
anapatikana pia kwenye uso wa Kitabu