Total Pageviews

Friday, October 28, 2011

MY 21 DAYS VACATION TO NAKATUBA - DAR TO MORO

Safari ikianzia kwetu Kinyerezi. Blogger kwenye usukani na abiria wake Beria na Joshua.

Ruvu Darajani pancha ya kwanza, lakini safari inaendelea baada ya kubadilisha tairi.

Morogoro tunaungana na Mzee wa Makamuzi, Mr Makubhi na kuanzia kabisa kwenye matengenezo From there....
Tukaingia kwa Dr George.


wenyeji wetu tukawakuta wakitutaraji


Baada ya stori za hapa na pale, na Msosi wa nguvu

Ni wakati wa kuaga
Huku nidhamu ya ratiba ikizingatiwa

Thursday, October 27, 2011

MAANDALIZI YA VACATION FEEDBACK PHOTOS

Maandalizi ya kukuletea picha za vacation yameshaanza, stay tuned

Mr BLOGGER IS BACK IN OFFICE

From Nakatuba with Love...............................................

Mr Blogger is back in office

Ready to share the 21 days experince in photos taken during the vacation.

Please stay tuned and watch out!!!!

FROM THE WALLET OF CK








Its during vacation when my digging captured this from CK's Wallet.


The photo was taken in 1972


At 41 years of age we might say the HB of that era.

Monday, October 3, 2011

SAFARI YA Mr bLOGGER HAIKUANZA LEO

Baada ya jumamosi mambo kuwa si mambo, nimelazimika leo kurejea ofisini.
Kama kawaida mapema na asubuhi nilikuwemo kwenye adha ya foleni za Dar

MUONGO MMOJA WA VIKAO VYA NDUGU

Hatimae jana vikao vya wanandungu vimekamilisha muuongo mmoja jana walipoketi katika kikao cha kumi kwetu Kinyerezi, tokea utaratibu huu ulipoanza Novemba 2010
Na Katiba ikaanza rasmi kutumika jana


JUMAMOSI IMEDUNDA

Mambo yamekwenda ndivyo sivyo, kwa hiyo Jumamosi hii nimekuwa job kama kawaida.
Nikapata na bahati ya kupitia site yetu mpya ya kazi pale Wailes Road - Temeke