Total Pageviews

Tuesday, September 7, 2010

MSALYA ANNIVERSARY: 1895 - 04 JUNE 1966 (MEMORIES TO LIVE ON)

Wadau kutoka sehemu mbali mbali walihudhuria
.........Better, Nyabhutache, Tabu, Kabhajiro .......etc
..........Chausiku,Mukima,Tereza...............

Mururi
.........Mama Chuma, Mama Chai, CK................
.........Amina(Minoo)...........
Ilikuwa fursa ya kutengeneza marafiki wengine pia kutoka mbali
.........Bintize Msalya na Mrs Kabula Geriga......
......Mukima, Nyakamoga (Nyanyingu)
........wakati wa marafiki.............
....picha za kumbukumbu.........

Wednesday, September 1, 2010

HAPPY BIRTHDAY

MDAU TOKA DOM KESHO 02.09.2010
ANASHEHEREKEA MY BIRTHDAY YAKE YA KUZALIWA
MIAKA ..........ILIYOPITA HUKO NAKATUBA.

Wadau kwa pamoja tumuimbie
HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR SARAH,
HAPPY BITRHDAY TO UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

May God bless u many years to come

Thursday, August 19, 2010

MSALYA ANNIVERSARRY: 1895 - 04 JUNE 1966(luncheon)

Ilikuwa sasa ni zamu ya pilika pilika za maandalizi ya lunch ya mchana
Na kila mmoja aliwajibika ku play his/her part
kazi na dawa, wakati mwingine watu walipumzika kulainisha makoo, kabla ya mambo ya luncheon kuanza
kila lika kwa nafasi walishiriki luncheon hili la kumbukumbu



Tuesday, August 10, 2010

SALAMU ZA WADAU TOKA JAPAN

3Ps, Penina, Pricila & Peter
WADAU WAMEPATA HABARI YA MSHIKAKI PALE MOROGORO, NA KWA VILE WANAJIANDAA ANDAA KUREJEA, WAMESEMA KWA SASA NI TIZI MTINDO MMOJA NIMESHINDA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!