Msalya-myfamily
Friday, August 23, 2013
MAISHA YA SHULE, NI SAFARI NDEFU
›
Remember those good old days? Huu hapa ni wimbo wetu mmojawapo....... "Maisha ya shule ni safari ndefu, vumi, vumilia Ni safar...
LA HASHA, HUU SI UUNGWANA
›
Wengine wanaendesha kushoto, Wewe unaendesha kulia Hata nafasi iliyoachwa watu wa crossing wapite unaziba. hatima yake foleni isiyo ya ...
Thursday, August 22, 2013
DELMONTE HAPA
›
Mbio zote zile asubuhi, mwisho wake huwa ni hapa. Naam, hapa ndipo panatuweka mjini Bongo Darisalama. Delmonte offices.
Wednesday, August 21, 2013
MGAMBO AU POLISI JAMII?
›
Ukakamavu, mazoezi kwa afya bora
KIJIWE KINAPODODA
›
Ama kweli acha Mwenyezi Mungu agawe riziki anavyoona inafaa...... Mwingine kijiwe kimedoda, Mwingine nyomi Kawawa road, Msimbazi leo
PENYE RIZIKI
›
Bungoni, Uhuru road
Monday, August 19, 2013
BON VOYAGE CK
›
Mzee CK, Kipunguni Jumamosi. Sasa hivi yuko njiani kurejea Nakatuba, Musoma Express Akiambatana na Eddy. Hapa ni waliofika kumtakia saf...
1 comment:
‹
›
Home
View web version