Msalya-myfamily
Wednesday, October 17, 2012
LEO NI SIKU YA MDAU NEEMA
›
Leo 17.10.2012 Ni Siku ya mdau NEEMA BRIGHT K MSALYA Mdau anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa leo hii HAPPY BIRTHDAY Dear...
Monday, October 15, 2012
MTANUAJI ANAPOPIGWA BAO
›
Utii wa Sheria bila shuruti, Lakini haikuwa hivo kwa Dereva huyu wa Daladala aliyeamua kutanua. Nyerere Road, Scania Vingunguti last f...
MADE IN UBUNGO
›
Truck made in Ubungo Maziwa, Dar Es Salaam, Jumamosi
Friday, October 12, 2012
FOLENI KAMA KAWAIDA
›
Ni kawaida sasa barabara zetu mida hii ya kuanzia alasiri. Hata jamaa zangu wa TZR leo wamekumbana na adha hii, maana...
Thursday, October 11, 2012
BON VOYAGE MWAYAI
›
Mzee Mwayai yuko safarini akirejea Bunda baada ya ziara ya kusafisha macho jijini kwa takribani wiki mbili. Ameon...
Wednesday, October 10, 2012
NYOMI
›
Ndivyo ilivyo Bongo yetu, mvua kidogo, hakuna gari za abiria barabarani, vituo vinafurika Leo asubuhi, Kawawa Road, Machinga Comple...
Monday, October 8, 2012
PENINA AT TASUBA
›
Mdau penina akiendeleza libeneke la Msalya Sekaseka
‹
›
Home
View web version