Wednesday, June 6, 2018

VISITING TWIN TOWN

Mji wa Redditch, Uingereza. mji rafiki wa Mtwara tokea 1986. Uhusiano ukiratibiwa vyema na ROWL (Redditch One World Link).
Mdau wetu, Mwanasheria Nyachiriga pamoja na wenzie watatu toka Mtwara wameondoka alfajiri hii kwa ziara ya wiki tatu ya kuutembelea mji wa Redditch.
Tuna matumaini itakuwa ziara ya mafunzo na mafanikio.

Monday, June 4, 2018

KWAHERI MARIA, KWAHERI CONSOLANTA

Maria na Consolata Mwakikuti.
1996 - 02 Juni 2018