Total Pageviews

Wednesday, March 28, 2018

MY WONDERFUL PASSENGER



Abiria wangu leo Asubuhi, 
Kinyerezi - Msimbazi.
Baada ya kuingia tu akafunga mkanda, Dakika chache baadae usingizi fofofo.
Nilifika nikamuacha garini, hadi alipokuja kuamushwa Robo saa baadae

Monday, March 26, 2018

UVAMIZI WA PANYA

Panya wasiojulikana wameamua kunitia hasara isiyojulikana.
Kinyerezi kwetu.

Friday, March 16, 2018

MSALYA & COMPANY NOW IN DAR ES SALAAM


Now in Kipunguni, Dar Es Salaam,

MSALYA & COMPANY CONSULTANTS
They are based in Mtwara, Southern Tanzania and deals with Legal and Development Consultants, Advocates, Notaries Public and Commissioners for Oaths includingConveyance,Land, Business, and Taxes.
They are situated at:
Makonde/Chikongola Roads Junction                    

Kanisa la Biblia Compound                                               
Central Business District (CBD)
Mtwara-Mikindani Municipality     

And may be contacted through:

P.O. Box 1215, Mtwara   

Cell: 0755 806843, 0784191232, 0717 404885

Thursday, March 15, 2018

TOP FOUR

TANZIA; SILLA MWAYAI MSALYA

Silla Mwayai Msalya
09 Desemba 1976 - 15 Machi 2018
Mdau wa Blog yetu
Silla Mwayai Msalya amefariki alasiri hii.
Amefariki kwa ajali ya Gari aliyokuwa akiiendesha huko Sengerema.
Blog itaendelea kuwapatia taarifa zaidi za msiba.
BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

IN DAR,

Safari Salama,
Hatimaye Dar Es Salaam,
Kipunguni

READY FOR THE FLIGHT

Mwanza Airport,
Tayari kwa safari

MWANZA INTRANSIT

Pasiansi, Mwanza.
Safari ya Matumaini kuelekea Dodoma kupitia Dar Es Salaam.
Kituo cha kwanza Mwanza, Kukutana na ndugu na jamaa.

Wednesday, March 14, 2018

BODABODA PHYSIOLOGICAL MOB

Pale unapojikuta umekuwa Muhanga wa Bodaboda men.
Mashitaka na Hukumu bila utetezi.
Tabata St Mary's asubuhi.

Sunday, March 11, 2018

BUNDA TODAY

Photo shared through Whatsapp from Bunda Today.
Our Bunda stakeholders believe
LIFE GOES ON.

KAZI KAZI

Na asiyefanya kazi na asile,
Msimbazi Kawawa Road.
Mwarabu na mwenzie wakikusanya mchanga kwa ajili ya Riziki.

MAZOEZI KWA AJILI YA AFYA

Penina,
Bunda
recently