Hakika kijiwe hakimtupi mja wake.
Mchafukoge, Mnazi mmoja. jana Mchana.
Baada ya mizurulo ya hapa na pale nilipitia hapa kupiga sopusopu viatu vyangu.
Si haba, Shoeshiner aliongeza Buku katika Hazina yake.
Total Pageviews
Saturday, January 20, 2018
Monday, January 15, 2018
GREAT BIRTHDAY ANNIVERSARY
Saturday, January 13, 2018
BURIANI MARTIN KAAYA 1945 - 2018
Wadau wa Blog,
Jana wameshiriki Misa ya Kumuaga Mpendwa wetu Martin Sioyi Kaaya katika Kanisa la KKKT Buzza.
Marehemu Martin Kaaya alifariki Jumapili tarehe 07 Januari 2018, na Jana amesafirishwa kwa Maziko Meru Arusha.
Bwana alitoa, Bwana Ametwaa, Jina lake Lihimidiwe.

Thursday, January 11, 2018
Wednesday, January 10, 2018
Tuesday, January 9, 2018
WAMERUDI
Kinyerezi Segerea Road,
Leo Asubuhi.
Bila ya Shaka walioenda mapumziko ya musimu wa sikukuu za mwishoni mwa Mwaka wamerejea Jijini wakiwa na Ari ya juu ya kuchapa kazi.
Monday, January 8, 2018
NDANI YA KITUNGWA SEKONDARI
Ukaguzi wa vifaa vya shule, Minoo
Ukaguzi wa vifaa vya shule, Penina
Saini ya kukubali kujiunga na shule
Second Master
School Entrace
Kitungwa Adventist Secondary School, Kingolwira Morogoro.
Kilometa 10 tokea katikati ya Mji wa Morogoro.
Ni Kando ya Barabara kuu ya Dar es Salaam Morogoro.
Subscribe to:
Posts (Atom)