Mwanasheria House
Honda's room
06 June 2017
Imekuwa siku ya kumbukumbu njema,
Siku hii pamoja na kuwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mdau Dr George,
Kwa mara nyingine jana imejiwekea historia ya kuwa siku ambayo Umeme uliwashwa rasmi katika Boma la Mzee CK, Kijijini Nakatuba.
Hatimae ndoto za Prof Muhongo za umeme vijijini kupitia mpango wa REA zimezaa matunda.