Tabata asubuhi,
Gari nne zikitafuta kipaumbele kwa matumizi ya Barabara.
Basi ya Mahabusu.
Gari ya Askari Magereza wakitoka kibaruani
Gari la wagonjwa
Gari la Serikali likimuwahisha Afisa ofisini
Mathayo 6 25‘‘Kwa hiyo nawaambia, msiwe na wasiwasi kuhusu maisha yenu:
mtakula nini au mtakunywa nini, au kuhusu miili yenu, mtavaa nini. Je, maisha
si zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi? 26Waangalieni ndege wa angani,
wao hawapandi wala hawavuni au kuweka ghalani, lakini Baba yenu wa mbinguni
huwalisha hao. Je, ninyi si wa thamani zaidi kuliko hao ndege? 27Ni nani miongoni mwenu ambaye
kwa kujitaabisha kwake aweza kujiongezea hata saa moja zaidi katika maisha yake
au kuongeza dhiraa moja kwenye kimo chake ?
Familia ya Msalya Mtwara ikiwa na wageni kutoka U Fin.
Jasiri haachi asili,
Mwendelezo wa Kauli kuu ya Mzee CK, Nakatuba
Wageni ni Baraka za Mwenyezi Mungu.
Unaweza ukafikiria Dar,
kwamba usafiri wetu kila wakati ni wa kugombania,
kwamba barabara zetu kila wakati ni foleni !
La Hasha, Kuna wakati abiria hakuna, Daladala zinapaki kupumzika,
Na barabarani unaweza kutembea kwa mguu.
Mnazi Mmoja na Kawawa Rd leo mchana.
Mwaka mpya na mambo mapya!!
Babu Milly ameanza rasmi maisha marefu ya shule........
Lakini yote hupita na kubaki historia,
Yakichezewa ni majuto.
Go Milly, GO
Nakatuba hivi karibuni.