Ukisikia Blogger fulani ana jicho la picha,
Ndilo hilo.......
Total Pageviews
Saturday, January 28, 2017
Friday, January 27, 2017
KISA CHA MSAMARIA
Bwana Yesu asifiwe…
“Mpende jirani yako kama nafsi yako” ni amri ya pili iliyo kuu. Imeandikwa;“ Na ya pili ndiyo hii, Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi.“Marko 12:31(Ya kwanza ni mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote, na kwa nguvu zako zote. Marko 12:30) Amri hii ilitolewa na BWANA mwenyewe tangu kipindi cha Musa,( Walawi 19:18). BWANA MUNGU aliwataka watu wake wasifanye kisasi,wala kuwa na kinyongo bali waishi maisha ya kupendana.
Monday, January 23, 2017
HAHAHAHA........BLOGGER KAPATIKANA
Yes, DAR yetu inachemka.............
Foleni, Joto na zaidi ya yote ur driving un airconditioned vehicle,
Ni shughuli pevu.
Foleni, Joto na zaidi ya yote ur driving un airconditioned vehicle,
Ni shughuli pevu.
KWETU MBALI
Home away, far from home.
Ni safari ndefu.
Kigamboni upande gari za Mwembe Mdogo,
Uvuke daraja la Malimbika,
Mwongozo Kibaoni, Malimbika road ndiyo kwetu.
Ni safari ndefu.
Kigamboni upande gari za Mwembe Mdogo,
Uvuke daraja la Malimbika,
Mwongozo Kibaoni, Malimbika road ndiyo kwetu.
Saturday, January 21, 2017
SARANDA ONE
Saranda, Dodoma
Stesheni maarufu ya treni kwa misosi zama zile.
Huenda mambo yakaibuka tena.
Picha kwa hisani ya Mdau Tall
Stesheni maarufu ya treni kwa misosi zama zile.
Huenda mambo yakaibuka tena.
Picha kwa hisani ya Mdau Tall
Tuesday, January 17, 2017
Monday, January 16, 2017
DALADALA MEN
Sunday, January 15, 2017
Saturday, January 7, 2017
UKAME AU?
Dalili mbaya,
Mti wetu wa mwembe unaoanza kunyauka,
Au ndiyo Mbuzi wa maskini hazai............
Kinyerezi kwetu,
leo asubuhi
Mti wetu wa mwembe unaoanza kunyauka,
Au ndiyo Mbuzi wa maskini hazai............
Kinyerezi kwetu,
leo asubuhi
Friday, January 6, 2017
Wednesday, January 4, 2017
Monday, January 2, 2017
TANZIA
Ndugu yetu Maira hatunae tena.
Maira ni mdogo wake na Kagere, kwa Mama mmoja Bi Mwajuma Chiyarata.
Kunako February 2015, Maira alipata matibabu ya kuondolewa uvimbe usoni ndani ya pua.
Pamoja na kupata nafuu kwa nyakati fulani, tatizo hili limekuwa likiendelea hadi kuleta umauti juzi usiku wa kuamukia mwaka mpya.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina lake lihimidiwe.
Amina
BORN HERE HERE
Hakika siku hazigandi,
Kutoka vijana wa Nakatuba Centre,
Na sasa ni wazee wa Nakatuba Centre.
Ni Comrade Goodluck Mkingira Ngalya, maarufu CHADEMA
Kutoka vijana wa Nakatuba Centre,
Na sasa ni wazee wa Nakatuba Centre.
Ni Comrade Goodluck Mkingira Ngalya, maarufu CHADEMA
Subscribe to:
Posts (Atom)