Kama ilivyo misuli ya mwili, mifupa nayo ni tishu zenye uhai
zinazofaidika kwa mazoezi ya mwili. Mazoezi huimarisha mifupa na
kuifanya iwe na nguvu, iwe na umbo zuri pamoja na ujazo mzuri.
Kinyerezi kwetu
Total Pageviews
Wednesday, November 30, 2016
Monday, November 28, 2016
Thursday, November 24, 2016
WELCOME HOME CK
CK Jnr,
amerejea kwa ajili ya mapumziko ya likizo baada ya kuwepo shuleni Chome tokea Januari mwaka huu.
amerejea kwa ajili ya mapumziko ya likizo baada ya kuwepo shuleni Chome tokea Januari mwaka huu.
Saturday, November 19, 2016
KUENEZA INJILI
Msimbazi Centre Bus Stand,
Kawawa Road
Habari njema nilazima ihubiriwe kote kabla ya kurudi kwa Yesu. Imeandikwa Mathayo 24:14 "Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja."

The McCAUGHEYS FAMILY
19 Novemba 1997 Dunia ilipata mshangao wa aina yake.
Bw na Bi Kenny & Bobbi McCaughey wa Des Moines, Iowa, Marekani walipata mapacha saba. Watoto watatu wa kike na wanne wa kiume.
Kenny Robert, Alexis May, Natalie Sue,Kelsey Ann, Nathan Roy, Brandon James na Joel Steven.
Dada yao mkubwa Mikayla Marie yeye alizaliwa tarehe 3 Januari 1996.
Hivi karibuni wote hawa wamehitimu elimu yao ya chuo kikuu toka vyuo mbalimbali.
Na leo ni siku yao maalumu,
Ni siku yao ya kuzaliwa wakitimiza miaka 18.
HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY
The McCaugheys

SIKU YA CHOO DUNIANI
Leo ni siku ya choo duniani.
Siku hii ya choo duniani inakumbusha ulimwengu kuwa watu zaidi ya bilioni 2.5 duniani kote wanakabiliwa na matatizo yanayoambatana na ukosefu wa vyoo vinavyokithi mahitaji ya wakati hatua ambayo inawaweka kwenye mazingira ya kukumbwa na matatizo ya kiafya.
Thursday, November 17, 2016
BIRTHDAY ANNIVERSARY
Manyori Billy K. Msalya
My birthday wish for youOn the day you turn 31
Is that you may trust God more
By the time this year is done,
And that you will love God more
Than ever before you did,
As you learn of His love for you
Since the time that you were a kid.
May you feel safe in the arms of God,
Knowing yourself to be in His care.
His eye of love rests on you now
As it does all the time, everywhere.
Monday, November 14, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)