Monday, June 27, 2016

CHINGULUBHILA

Safari inaendelea,
Chingulubhila kwa Uncle Muyabhi.

KUELEKEA NAKATUBA

 Karukekere
 Karukekere express
Bunda.
Wadau wengi wanaelekea Nakatuba kwa mkutano wa mwaka.
Tunafurahi walio wengi wametembea na Smartphone zao, hivyo Blog yetu inahabarishwa.

Saturday, June 25, 2016

PHOTO SHARING FROM BUTIAMA

 Kaburi la Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Wadau wetu wakiwa njiani kuelekea Nakatuba, wamepata fursa pia ya kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea Butiama, nyumbani kwa Muasisi wa taifa letu.

Monday, June 20, 2016

PRAISE THE LORD

Mr Lucas Gunze, Bugando Late 2011
Mr Lucas Gunze, Bariadi recently

Isaiah 41:10

So do not fear, for I am with you; do not be dismayed, for I am your God. I will strengthen you and help you; I will uphold you with my righteous right hand.

KARIBU BABY GIRL

Dear princess, it is the time for you to open your eyes and see the wonderful world around you which has become much brighter with your presence.

Thursday, June 16, 2016

MAKAZI YA BOB YAANGUKIWA NA MNAZI

Usiku wa kuamukia leo, majira ya saa sita kasoro.
Mnazi umedondokea banda la kuku na banda la mbuzi. BOB na WIFI wakiwemo lakini hawakudhurika.

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

 Kila mwaka tarehe 16/6 watoto wote Afrika huadhimisha siku ya mtoto wa afrika ikiwa ni Sehemu ya kumbukumbu ya kuwakumbuka watoto wenzetu waliouawa kikatiri huko Soweto Afrika kusini walipokuwa wakiandamana kwa amani kupinga utawala wa kibaguzi uliokuwa ukiendeshwa na makaburu. Katika siku hii watoto hutumia fursa hii kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya masuala mbalimbali yanayohusu malezi, makuzi, matunzo ulinzi na usalama wa watoto.

 Uamuzi wa kihistoria ulifikiwa tarehe 20 Novemba 1989 pale viongozi wa dunia waliporidhia Mkataba kuhusu Haki za Mtoto katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Tangu kuridhia kwake miaka 20 iliyopita , Mkataba huu umevunja rekodi kwa kuwa mkataba wa haki za binadamu iliowahi kuridhiwa na mataifa mengi kuliko yote katika historia. Tanzania ilikuwa miongoni mwa nchi za mwanzo kabisa zilizoridhia Mkataba huu katika mwaka 1990 na kwa kufanya hivyo ikawa imetambua rasmi kwamba watoto wote wanayo haki ya kuishi na kukua, kupatiwa ulinzi dhidi ya vurugu, matendo mabaya na unyanyasaji, kuheshimiwa kwa mawazo yao na kuzingatiwa kwa maslahi yao katika maamuzi yote yanayohusu ustawi wao.


Friday, June 10, 2016

THE McGHEE FAMILY

2010
2016
Familia ya Bw/Bi. Rozzono na Mia McGhee, wakazi wa Columbus, Ohio Marekani.
Picha iliyovuma sana kwenye mitandao, majuzi katika kusheherekea watoto kutimiza miaka sita wamepiga picha nyingine kukumbushia ile ya zamani.
Watoto ni Olivia, Madison, Rozzono Jnr, Josiah, Elijah na Isaac.

Monday, June 6, 2016

HAPPY BIRTHDAY

God created nephews to bring joy to the lives of aunts and uncles. Good job. Happy Birthday with love.


Sunday, June 5, 2016