Total Pageviews

Thursday, December 29, 2016

KONOZZ NA WADAU WA BLOG

 Konozz na Cashman
 Mtuhumiwa

At Magooge Lodge, Shede Street
Rocky City recently

DOUBLE ANNIVERSARY

My childhood would have been incomplete and imperfect without a sister like you. Happy birthday.

Happy Anniversary and May your marriage be Blessed with love, joy And companionship For all the years of your lives!

MIKONO YA BARAKA

Kuna Baraka nyingi hasa zinatokana na mikono lakini hatujishugulishi
 Zaburi 24:4-5 
Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe, Asiyeiinua nafsi yake kwa ubatili, Wala hakuapa kwa hila. Atapokea baraka kwa Bwana, Na haki kwa Mungu wa wokovu wake

THE BILLYs

Naam, kina Billy wanaongezeka.
Billy Snr
Billy Jnr1 na
Billy Jnr2 ambae anazidi kukua katika kimo kwa afya njema.
Bunda kwetu karibuni,

Wednesday, December 28, 2016

Tuesday, December 27, 2016

SEEING THEM OFF

Eti kuagana kunaumiza!
Nyamagoti akishuhudia wageni wake aliokuwa nao kwa takribani wiki wakiondoka mmoja baada ya mwingine.
Nakatuba jumapili.

TETE A TETE

Roba and Aristariko
Nakatuba

NAILILIA TANZANIA YA VIWANDA

Those Old good days,
Kibara Ginnery.
Ajila na Uzalishaji teletele
Neema kibao.
Sasa imebaki historia.

RAFIKI

Milly na rafikize, Nakatuba.

KATIKA usiku wake wa mwisho duniani, Yesu aliwatia moyo wanafunzi wake washikamanifu waendelee kuwa marafiki. Mapema jioni hiyo, alisema kwamba upendo ambao wangeonyeshana ungewatambulisha kuwa wafuasi wake. (Yoh. 13:35) Mitume walihitaji kuendelea kuwa marafiki wa karibu ikiwa wangevumilia majaribu ambayo yalikuwa mbele yao na kutimiza kazi ambayo Yesu angewakabidhi baada ya muda mfupi. Kwa kweli, Wakristo wa karne ya kwanza walijulikana kwa sababu ya ujitoaji wao wa moyo wote kwa Mungu na kwa waamini wenzao.

ROAD MASTER

RUHUMBIKA
The Road Master on Nansio - Bunda Road,
Arriving Kibara enroute to Bunda.

BOXING DAY

Boxing Day,
Ni vita ya Jogoo,
Kijijini kwetu Nyakatubha.

Monday, December 19, 2016