Wednesday, December 30, 2015

BIASHARA NA CHINGA

Kununua kwa Machinga kuna raha na utaalamu wake.
Anaanza juu, Unaanzia chini.
Mkikutana katikati kila mmoja karidhika, anaondoka kwa furaha.
kwa kulinganisha kila mtu alipoanzia, kila mmoja anawaza.......nimempata leo..........

13TH ANNIVERSARY

Celebrating for the 13th Anniversary of their wedding.
Ni wadau wetu wa Morogoro.
Bi Lilian na Dr George.
Mwenyezi Mungu awazidishie mibaraka kwenye ndoa yenu.

Tuesday, December 29, 2015

UTII BILA SHURTI !!

Iliyozungushiwa ni Gari ya Polisi, maarufu "tetracycline"
Kwenye foleni kama hizi, je wenyewe hawabanwi kufuata mstari?
Najiuliza tu!
Amana, Uhuru Rd leo asubuhi.

Saturday, December 26, 2015

BIG UP

HONGERA Mr&Mrs Msengi
Kwenye ufunguzi wa nyumbani kwenu.

Thursday, December 24, 2015

Monday, December 21, 2015

MAMBO YA MITANDAO

Bila shaka ongezeko la mitandao ya kijamii limeongeza mahitaji ya picha.
Na Smart phones zinaziba pengo la mahitaji ya Camera.
Msimbazi, Kawawa Rd

Friday, December 18, 2015

AFRICA TEN RICHEST COUNTRIES

1. South Africa: GDP: $595.7 billion
 2. Egypt: GDP: $551.4 billion

  3.Nigeria: GDP: $478.5 billion

 4. Algeria: GDP: $284.7 billion
5. Morroco: GDP: $180 billion


    6. Angola: GDP: $131.8 billion



   7. Ethiopia: GDP: $118.2 billion

 8. Tunisia: GDP: $108.4 billion



    9. Ghana:  GDP: $90.41 billion



    10. Sudan: GDP: $89.97 billion


SOURCE:
Africa Cradle Friday, 18 December 2015