Chai Bora, majani ya TATEPA ilianzia hapa pia.
Vingunguti leo asubuhi.
Monday, November 30, 2015
Sunday, November 29, 2015
Friday, November 27, 2015
LIKIZO TYME
Ni msimu wa sikukuu za mwishoni mwa mwaka,
Ni wakati wa likizo pia kwa wanafunzi.
Pichani CK Jnr na wanafunzi wenzie wa Chome Secondary wakiwasili Ubungo Terminal.
Alhamis jioni.
Ni wakati wa likizo pia kwa wanafunzi.
Pichani CK Jnr na wanafunzi wenzie wa Chome Secondary wakiwasili Ubungo Terminal.
Alhamis jioni.
Thursday, November 26, 2015
Wednesday, November 25, 2015
UTII BILA SHURTI !!!
Gari maarufu barabara ya kwetu ambayo inasemekana Dereva/Mmiliki wake ni askari ikiwa kwenye kibano kwa ukiukaji wa sheria za barabarani.
Njia Panda Segerea,
Jumanne usiku.
Njia Panda Segerea,
Jumanne usiku.
Tuesday, November 24, 2015
CHUKUA TAHADHARI WAKATI WOTE
When you have a car breakdown and come to note that you did not take your triangle reflectors with you.
KARIBU MGENI
Unapowasili Dar mapema asubuhi kwa Treni,
Na unataka uunganishe kwenda kitaa na mizigo yako.
Tazara, jumatatu asubuhi.
Na unataka uunganishe kwenda kitaa na mizigo yako.
Tazara, jumatatu asubuhi.
Monday, November 23, 2015
Thursday, November 19, 2015
Wednesday, November 18, 2015
FOLENI BYE BYE
Kinyerezi darajani, leo asubuhi.
Ile adha ya foleni hapa sasa ni historia.
Ahsante Mkandarasi, AFRIQUE
Ile adha ya foleni hapa sasa ni historia.
Ahsante Mkandarasi, AFRIQUE
Monday, November 16, 2015
HII SI SAWA DEREVA
Dereva Bajaj akipiga stori na mshikaji, huku akiendesha barabarani.
Mwendesha baiskeli akimlalamikia Dereva Daladala aliemfuata hadi pembeni na kumsukumia mtaroni na baiskeli yake.
Madereva, chukueni tahadhari.
Mwendesha baiskeli akimlalamikia Dereva Daladala aliemfuata hadi pembeni na kumsukumia mtaroni na baiskeli yake.
Madereva, chukueni tahadhari.