Total Pageviews

Thursday, July 16, 2015

KIZURI HAKIKOSI KASORO

 Corn Plant
 Dieffenbachia/Dump cane
 Elephant Ear
 Heartleaf Philodendron
 Aloe Plant
Satin Pothos

Maua mazuri yapendeza,
Ukiyatazama, utachekelea.........
Maua mazuri yapendeza.

Pamoja na uzuri wa mimea ya maua ya ndani kuna maua yenye sumu ambavyo vinaweza kudhuru mifugo ya nyumbani, watoto na hata watu wazima.
Sumu hii kutoka mimea iko katika viwango mbalimbali, na ikitokea kumezwa inaweza kusababisha madhara makubwa ikiwemo vifo.
Ni vema basi ukawa na ufahamu wa mmea wako wa maua ulioupanda nyumbani au kuutunza ndani na kuchukua tahadhari.
Watu wengi hawaamini kuhusu athari ya haya maua tunayoyapenda. Pengine unakuta wamepanda chini na mtoto anaweza kuyafikia tu kirahisi hivyo.
Hapa chini ni maoni ya wadau ambayo niliyapata kwenye mitandao kuhusiana na Ua la pili hapo juu (Dieffenbachia/Dump cane).

"Hilo ua ............. ambalo ni common sana kwenye majumba yetu na ofisi zetu limewahi kumletea kizaazaa mama yangu mdogo. Ua hilo lilikuwa limepandwa karibu na zizi la ng'ombe na ng'ombe mmoja alijichanganya akalitafuna kidogo apate uchizi. Mamdogo wangu alipoona ng'ombe yuko katika hali ile akawa anashangaa ng'ombe kala nini, naye bila kujua atendalo akachukua kijani kidogo cha ua hilo akatafuna ili kuhakikisha. Kilichomtokea mdomo uliumuka kupita kawaida na ukawa una maumivu makali kama vile unawaka moto! Mdomo ulirudi mahala pake baada ya siku kadhaa na msaada wa daktari. Tangu siku hiyo tuling'oa maua yote ya vile na tumekuwa makini nayo kila tuyaonapo, including kuwatahadharisha wenzetu."

"Hilo la ......... hata mimi liliwahi kunitaabisha.nilikuwa nimeshika maji maji yake nikajisahau nikaweka mkono jichoni. weee! Nilijuta."
  

Wednesday, July 15, 2015

GOODMOORNING KINYEREZI

Goodmorning,
Ahsante Mungu kwa kutuamsha tena leo..............
Kinyerezi kwetu asubuhi.

Tuesday, July 14, 2015

SIO TENA ENZI ZA MWAKA 47

Muda unavyosonga,
Teknolojia inasonga,
Na hata Uswazi kwetu kunasonga.
Mbuyuni, Kinyerezi kwetu recently.

Friday, July 10, 2015

ANOTHER BIRTHDAY

A journey of a thousand miles begins with a single step.                                    

Congrats Penina, today you have just completed one more step.

HAPPY BIRTHDAY
 

AMA KWELI KUNA UPEPO MBAYA !!

Zamani zile nikisikia simulizi za upepo mbaya,
ukianza kuvuma, mpaka upite nyuma umeacha majanga mengi.............
Huu ndio upepo unaovuma Dar mpaka Nakatuba sasa.
Homa, mafua, flu na kadhalika................
Mwenyezi Mungu atuepushe na maradhi ya upepo huu,
Na wale ambao tayari wamepitiwa na upepo huu, Eeeh Mwenyezi Mungu twakuomba uwaponye haraka.
Pichani Bilshani a.k.a. Chuma akiwa amelazwa hospitali ya Kibara

Wednesday, July 8, 2015

AMA KWELI MVUNJA NCHI NI MWANANCHI

Mwananchi akisafirisha mzigo wa mbao kwa kuvuta na Pikipiki.
Mara nyingi nimewaona wengine wakivuta nondo.
Mwananchi huyo huyo ndiye wa kwanza kulaumu mamlaka kwa uwepo wa barabara mbovu.
Kinyerezi kwetu, Sabasaba day

Monday, July 6, 2015

CHANGING KINYEREZI KWETU

 10 July 2011
10 May 2015

PENINA'S BODABODA

Penye nia pana njia,
Hatimae Bodaboda ya Bi. Penina imewasili Nakatuba.
Picha kwa hisani ya Mdau Baruku, kupitia WhatsApp.

FUTARI

Tazara,
Friday evening

ITS BIRTHDAY

Teddy Bhituro,
HAPPY BIRTHDAY

AJABU NA KWELI

A car has flown off a road and smashed through the roof of a house in South Africa's coastal city Durban, emergency services firm ER24 says.
The driver said he drove over a ramp, and this led him to crash into the house in Kwamakhutha township, it said.
He escaped injury, while a person sleeping in a room next to the one where the car landed was also unhurt, ER24 added.

SOURCE: bbc

Wednesday, July 1, 2015

RIZIKI JALALANI

Ama kweli adui yako mwombee njaa.....................

Sijui njaa, au nini kijana huyu ambae hakuweza kufahamika mara moja akisaka mabaki ya vyakula katika chombo cha kukusanyia taka.
Msimbazi Centre, Leo asubuhi.

UTII BILA SHURUTI

Ni mtazamo wangu...........
Kwa mimi kuachia service roads magari mengine yapitie huko kunapunguza foleni barabara kuu,
Lakini kwa wasimamizi wa sheria za barabarani,
Kuzuia magari kupita service road, ili yote yapite barabara kuu kunapunguza foleni.
Amana, Ilala leo asubuhi.

UKISTAAJABU YA MUSSA........

A missing woman on vacation in Iceland managed to unwittingly join a search party looking for herself.
Toronto Sun reports that a tourist group traveling by bus to the volcanic Eldgja canyon made a pit stop near the canyon park. The woman in question went inside to freshen up and change her clothes at the rest stop, and when she came back “her busmates didn’t recognize her.”
Word spread among the group of a missing passenger, and the woman didn’t recognize the description of herself. Next thing you know, a 50-person search party was canvassing the area, and the coast guard was mobilizing to deploy a search party of its own.
About 3am, some genius in the group finally figured out that the missing woman was actually in the search party, albeit in different clothes, and the search was called off.
No word on what kind of wardrobe was involved in this woman’s “freshening up.” But her sense of self-image must be way out of whack to join a search party until 3am without even suspecting for a minute that the woman in the description bore some resemblance to herself.

SOURCE: Mitandao mbalimbali

CONGRATS ANKAL REBECA

Hongera Ankal Rebeca kwa kuchaguliwa kujiunga na Kidato cha tano.
Mapambano yanaendelea...............