Saturday, May 30, 2015

BIRTHDAY ANNIVERSARY

Nyamweya Rebecca Bright K. Msalya
30th  May

HAPPY BIRTHDAY OUR DEAR NYAMWEYA

Monday, May 25, 2015

RAHA JIPE MWENYEWE

Kijiweni, Samunge kwetu.
Kinyerezi

HERE COMES CK Jnr

Crawford Kurwijira Kagere Msalya (CK Jnr)
Vingunguti, Jumamosi

YAMENIKUTA TENA...........

Nyerere Road, near Tazara
Today morning

SPORTSMAN OF THE DAY

Mwanamichezo wetu wa siku katika Bonanza, TUCASA
Mzumbe, Morogoro Jumapili

Saturday, May 23, 2015

Wednesday, May 20, 2015

HUYU NDIYE NYACHIRIGA

From young Council officer to Old practising Lawyer.

MICHANGO, BODABODA YA Bi PENINA

Blogger akipokea mchango wa Bodaboda ya Bi Penina toka kwa Blog Photographer, Ankal Eddy.
Msimbazi Centre, Jumatatu.

Monday, May 18, 2015

HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY

Mdau Ankal Tabitha
17 May 2015
HAPPY BIRTHDAY TABITHA

Thursday, May 14, 2015

Wednesday, May 13, 2015

Monday, May 11, 2015

BRIGHT Jnr UNVEILED

Bright Junior (BJ)
Mtwara
Ameibukia Facebook

MKANDARASI KAZINI


Hatua za awali za ujenzi wa daraja ya kwenda Bonyokwa.
Mkandarasi Mzee Musibha.

UTUMIAJI FURSA

 Ukusanyaji wa ushuru kutoka kwa waendeshaji magari, kutokana na marekebisho yanayofanywa kwenye barabara iliyoharibiwa na mvua kubwa za hivi karibuni.
Ukusanyaji ushuru kwa kutumia ngazi iliyotengenezwa kuwa daraja la muda kuvukia mto.

Ama kweli kufa kufaana,
Kinyerezi kwetu jumapili.

MAJANGA YA MVUA

Wananchi wakishuhudia ufukuaji ukiendelea wa gari aina ya Opa iliyosombwa na mafuriko na kufunikwa kabisa na mchanga.
Kinyerezi kwetu Jumapili

Thursday, May 7, 2015

MAMBO YA MVUA DAR

 Goba
 Kinyerezi
 Goba
 Myfair Plaza, Bonde la Mpunga
 Goba
 Myfair
 Goba
 Myfair
 Mchicha, Vingunguti
Tazara