Ukusanyaji wa ushuru kutoka kwa waendeshaji magari, kutokana na marekebisho yanayofanywa kwenye barabara iliyoharibiwa na mvua kubwa za hivi karibuni.
Ukusanyaji ushuru kwa kutumia ngazi iliyotengenezwa kuwa daraja la muda kuvukia mto.
Ama kweli kufa kufaana,
Kinyerezi kwetu jumapili.