Total Pageviews

Wednesday, April 29, 2015

CONGRATULATIONS ON NEW BABY BOY

Blessed, is the Family of Mr & Mrs Kagere Msalya.
Today they welcome a new baby boy - CK.

Now your world is about to change. A new baby will make your love stronger, home happier, days shorter, nights longer and bank account emptier. Best wishes for the future!


HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY

  Mdau Titus Daniel Gunze
Jana 28 April 2015 ametimiza umri wa miaka 66.

Hoping you spend your birthday doing your favorite things. The best for the best. That's you, bro! Happy birthday!

Wednesday, April 22, 2015

NI MAJANGA AU?

Kinyerezi kwetu asubuhi,
Unapoamuka asubuhi na kukuta una pancha, ni majanga au?
Waungwana hupenda kusema ni mipango ya Mwenyezi Mungu,
Huwezi jua kwa nini alipanga uchelewe..............
Always praise the Lord.

Thursday, April 16, 2015

HAPPY BIRTHDAY BJ

Belly Junior Birthday anniversary,
BJ is now seven years old.
Kipunguni yesterday
HAPPY BIRTHDAY BELLY

Saturday, April 11, 2015

KAZI NI KAZI

Mwanamme husifiwa kazi.
Ilala
Jumamosi mchana

HII NDIYO BONGO BANA

 

Hapa wala siyo Uswazi,
Kama kushangaa kashangae feri,
Hapa ni getini pa kuingilia ofisi za wakubwa,
Jumamosi mchana.

Wednesday, April 8, 2015

HOW TO EASE FRUSTRATIONS

 Minoo,
 Saturday at Kinyerezi kwetu.
When denied a Safari, the best option to ease frustrations was to grab a smartphone and browse.

ONCE A MARINE, ALWAYS A MARINE

 And Once a Teacher,
Always a Teacher.
The Former Teacher of Lugalo TPDF Secondary School and DSA Mtwara Wing,
memorizing the Number theories with CK Jnr "Mnyama"
Kinyerezi, Tuesday

ENTERPRENEURSHIP

Ujasiriamali ni kuthubutu,
Mjasiriamali Bi Bello
Bagamoyo, Jumatatu

NEW SEBULENI

New Sebuleni,
Flamingo Garden Inn
Kinyerezi

CARAVAN SERAI

Caravan Serai
Bagamoyo, Jumatatu

BAJAJ

The Msalya Bajaj
Kinyerezi

KINYEREZI BRIDGE UPDATE


Photo update on reconstruction of Kinyerezi Bridge.
Kwa hakika hali bado ni tete.

Picha kwa hisani ya Mdau wetu wa Blog: Gilbert Rugaitika

BURIANI JUMA MWANAMBARA

 Late Juma Ali Mkawa Mwanambara,
hii picha niliipiga tarehe 28 February 2015 siku ya mazishi ya shemeji yangu Bi Mwajuma.
Juma Mwanambara alihudhuria tukashiriki nae kwenye mazishi hayo.
Tarehe 05 Februari, siku ya hitima ya Bi Mwajuma nilipata habari ya kifo cha Juma Mwanambara.
Juma alikuwa mmojawapo wa Maafisa Ushirika walionipokea wakati wa kuanza ajira yangu kama Afisa Ushirika msaidizi wilayani Bagamoyo Novemba 1982.
Tarehe 06 Februari 2015, Juma Ali Mwanambara amezikwa makaburi ya Mwanakalenge, ni pembeni tu mwa kaburi la shemeji yangu  Bi. Mwajuma.
Buriani Juma

Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un

Thursday, April 2, 2015

NEW BORN BABY BOY

Mwili mmoja mnamo 09 March 2014,
Hatimae ndoa hii imejibu,
Kuna mtoto Mwanamme amezaliwa Amana Hospital muda mfupi uliopita.
WELLCOME BABY,
Hongera Joel & Elimina