Monday, February 23, 2015

A STEP FORWARD

Bungalow la Afande Msalya Tall katika hatua za mwisho mwisho,
Nyegezi, Mwanza.
Hongera sana Mdau

MNH VISIT

Jumapili,
Hospitali ya taifa Muhimbili.
Bw. Maira (Mdogo wake na Kagere)
akiendelea kupata nafuu baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wa ndani, upande wa kushoto wa uso.

WELCOME GOMBOROJO

Mr Jonathan Gomborojo Kongora,
ndani ya sebule mpya,
Flamingo, Kinyerezi kwetu

HAPPY BIRTHDAY ANNIVERSARY

Last week, one of our Blog Stakeholder celebrated his birthday anniversary in Nyanguge, Mwanza.
He is Mwl Bilshani K. Msalya "Chuma"
HAPPY BIRTHDAY Mr BILSHAN once again.

Thursday, February 19, 2015

GREETINGS FROM IOWA

Mdau Dr George Msalya
freezing in Iowa

Monday, February 16, 2015

COOLING

Area D, Lugalo
Sunday evening

Friday, February 13, 2015

WHY BASIC KNOWLEDGE IS NECESSARY

If you have got a basic knowledge, there is no need of panic.
Once you have a problem you can know how to fix it.
We had a breakdown today, a puncture!
We had a Jack,
A spare tyre,
A set of Spanners,
Why worry, Why call rescuers......
Nyerere Road, Vingunguti
This Morning

Thursday, February 12, 2015

MAISHA YA SHULE, SAFARI NDEFU.........



Ama kweli maisha ya shule ni safari ndefu.
Msimbazi Centre, Kawawa Road
Jioni leo.

Wednesday, February 11, 2015

POSSING FOR FB PHOTO

Naam,
Ni kizazi kipya, kizazi cha dotcom.
Kila mmoja ana Kamera,
na Kila mmoja na Ukurasa wake.
Wakati ukuta, ukipigana nao utaumia mwenyewe.

Tuesday, February 10, 2015

Tuesday, February 3, 2015

UJASIRIAMALI

Kuelekea ujasiriamali
Kinyerezi kwetu