Late Mzee CK
Preliminary timetable
29 Sep
3.00 Asubuhi
Mwili kuwasili nyumbani Kinyerezi
4.00 Asubuhi
Chakula kwa waombolezaji
5.00-7.00
Ibada na kuaga
7.05 Mchana
Kuanza safari
2.00-4.00
Dodoma, Chakula pamoja na washiriki wa SDA Dodoma mjini na wafanyakazi wa Chuo cha Mpango Dodoma
7.00 Usiku
Stopover Singida
11.00 Alfajiri
Safari Singida Mwanza
To be continued
Total Pageviews
Monday, September 29, 2014
Saturday, September 27, 2014
Thursday, September 25, 2014
Wednesday, September 24, 2014
Saturday, September 20, 2014
Wednesday, September 17, 2014
CONGRATULATION DENNIS
Form Four Graduation
Mdau wetu wa Salanga, Venance Frednand na mkewe katika hafla ya kumpongeza kijana wao Dennis baada ya kuhitimu kidato cha Nne.
Mt Anuali mwenye Heri
Mdau wetu wa Salanga, Venance Frednand na mkewe katika hafla ya kumpongeza kijana wao Dennis baada ya kuhitimu kidato cha Nne.
Mt Anuali mwenye Heri
Tuesday, September 16, 2014
Monday, September 15, 2014
Saturday, September 13, 2014
TAMBUA KIPAJI CHAKE
Ukiwa makini utatambua tu kipaji chake ni wapi,
Pamoja na uzuri wa rangi na maumbo wa vichezeo vingine,
BenGeorge yeye na waya tu,
Pamoja na uzuri wa rangi na maumbo wa vichezeo vingine,
BenGeorge yeye na waya tu,
NAAM, KILA KAZI NA CHANGAMOTO ZAKE
Nilisema mimi,
Kila kazi ina changamoto zake.
Konda wa daladala, dereva wake kajisahau gari imezimika na haina starter.
Ni wajibu wa konda kusukuma iwake,
Aghalabu hutokezea abiria wasamaria wawili watatu wakamsaidia,
Huwezi jua, pengine ni wale waliolilia punguzo kidogo.

Friday, September 12, 2014
NEW NURSE ON LIST
Nursing list of Mzee CK goes on,
From yesterday, Chuma Bilshani is added on the list.
Kibasila, Muhimbili.
This Morning
From yesterday, Chuma Bilshani is added on the list.
Kibasila, Muhimbili.
This Morning
Thursday, September 11, 2014
Wednesday, September 10, 2014
CK VISITS CK
CK "Peter George" na wadau wa Morogoro,
leo asubuhi walipomtembelea CK Snr,
Kibasila, Wadi 16
Muhimbili National Hospital
Subscribe to:
Posts (Atom)