Team Rescue
Kinyerezi, Kanga
Jumatatu
Total Pageviews
Tuesday, August 26, 2014
YOTE MAISHA
Hapa mchana ni Mgahawa,
Lakini usiku panabadilika kuwa malazi.
Ni wauguzaji wenye ndugu zao waliolazwa Muhimbili wakipata hifadhi ya malazi.
MNH, Jumatatu usiku
Lakini usiku panabadilika kuwa malazi.
Ni wauguzaji wenye ndugu zao waliolazwa Muhimbili wakipata hifadhi ya malazi.
MNH, Jumatatu usiku
Friday, August 22, 2014
BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU
Zaburi 23
1 Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.2 Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
3 Hunihuisha nafsi yangu; na kuniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
4 Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
6 Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu; Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
Thursday, August 21, 2014
WHAT A CREATIVITY?
Nice Creativity of Nursery School Car
from Michael Mausa Memorial Schools, Kinyerezi.
Kawawa Rd, Wednesday
from Michael Mausa Memorial Schools, Kinyerezi.
Kawawa Rd, Wednesday
Wednesday, August 20, 2014
OUR CHANIKA TRIP
Kuzurula mara moja moja kunasaidia kusafisha macho.
Jumapili tukazurulia Chanika.
Ama kwa hakika ukifika Chanika, kama hujakutana na mdau wetu Muhimu Bw Machele,
safari yote ya kuzurula inakuwa haijanoga.
Jumapili tukazurulia Chanika.
Ama kwa hakika ukifika Chanika, kama hujakutana na mdau wetu Muhimu Bw Machele,
safari yote ya kuzurula inakuwa haijanoga.
MIMI NI MSAFIRI
Mimi ni msafiri bado niko njiani,
Sijui lini nitafika,
Naulizia watu kule ninakokwenda,
Naambiwa bado ni mbali...........................
Sijui lini nitafika,
Naulizia watu kule ninakokwenda,
Naambiwa bado ni mbali...........................
Monday, August 18, 2014
NI USIKU WA Eng LEONARD NA MARINA
Twiga Hall, Sunset Hotel, Makonde Dar Es Salaam
Eng Leonard na Marina walivyomeremeta pamoja na wadau wa Delmonte.
Jumamosi
Eng Leonard na Marina walivyomeremeta pamoja na wadau wa Delmonte.
Jumamosi
KIJIWE CHA KAHAWA
Raha ya kijiwe cha kahawa kipo up to date kwa habari,
tokea habari za siasa, michezo, burudani na kijamii.
Chanika, Jumapili
tokea habari za siasa, michezo, burudani na kijamii.
Chanika, Jumapili
Monday, August 11, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)